Twende kazi sebene limekolea…
Mduara ulihusika pia.
USIKU WA KUAMKIA LEO, LUTON TANZANIA COMMUNITY (EAST AFRICAN CONNECTION) KWA KUSHIRIKIANA NA TRIPPLE EM FOODS & DJ DOUBLE T. TUMEJUMUIKA KWA PAMOJA NA KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIOUNDA JAMHURI YA MUUGANO WA TANZANIA. SHEREHE HIZO ZA KWANZA HAPA UK ZILIFANYIKA PALEPALE KWENYE KIOTA MAARUFU KWA NYAMA CHOMA, UGALI, KIENYEJI, SUKUMA WIKI, MIHOGO NK,
PAMOJA TUNAWEZA.
ABRAHAM SANGIWA
KATIBU – JUMUIYA YA WATANZANIA – LUTON – UINGEREZA
No comments:
Post a Comment