Pages

Kisa Cha Mchimba Madini (A Miner's Tale Swahili)

Joakim ni mfanyakazi mhamiaji ambaye anahangaika kutimiza wajibu wake kwa mke wake mkubwa aliyeko Msumbiji na pia kwa mkewe mdogo anayeishi naye Afrika Kusini. Wazee wanasisitiza kuwa Joakim lazima atimize wajibu wake wa kiutamaduni na kuwapatia wake zake watoto zaidi. Je, Joakim atafanyaje?

No comments: