.Baada ya Kanye West kuidiss “Suit & Tie’ ya Justine Timberlake na Jay Z mwanzoni mwa mwaka huu kitu ambacho kilimfanya Timberlake nae kumjibu, mengi yalizungumzwa ikiwemo kutokuwepo kwa uhusiano mzuri kati ya J na Kanye lakini kumbe sio, wameonekana pamoja tena wakiwa na furaha muda mfupi baada ya Kanye West kuonekana akifanya shopping ya mama mtoto wake Kim K.

.
picha zote kutoka necolebitchie.com
.
picha zote kutoka necolebitchie.com
No comments:
Post a Comment