DarSlam NetWork
Pages
Home
Breaking Newz! LEMA AACHIWA KWA DHAMANA!!
Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbles Lema ameachiwa kwa dhamana ya kushtakiwa kwa Makosa ya Uchochezi katika Mahakama ya Mkoa wa Arusha
Katika Mahakama hiyo kulikuwa na umati mkubwa wa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment