Katika hali isiyo kuwa ya kawaida hackers wameendelea kusumbua na sasa ni zamu
ya tovuti ya serikali ya makamu wa rais kilicho andikwa nimatusi kwa
maandishi na kuna muziki wa hiphop wa mitusi.. Kuna mtu anajiita Govt
Attacker. Mr. Spam ..! Eti ni Mmoroco.
No comments:
Post a Comment