Kundi la wananchi wenye hasira katika kijiji cha Magara wilayani Babati
mkoani Manyara wamemuua kwa kumkatakata mkulima wa kijiji Hicho kwa vitu
vyenye ncha kali na kisha kumchoma kwa moto baada ya kumtuhumu awali
kuhusika katika tukio la kumuua mkulima Mwenzake kutokana na mgogoro wa
ardhi.
No comments:
Post a Comment