MTOTO JOSEPH AKIZONGWA NA BAADHI YA WAPIGA DEBE WA STENDI KUU YA DODOMA HUKU WENGINE WAKIMSIFIA KWA UJASIRI WAKE WA KUSAFIRI CHINI YA UVUNGU WA BASI HILO KWA UMBALI MREFU
KWA MUJIBU WA MAELEZO YA DOGO HUYU NI KWAMBA ALIISHI JIJINI DAR AKIWA NA WENZIE WAWILI AMBAO WALIKUWA WAKIFANYA KAZI YA KUOKOTA MAKOPO NA KUUZA NA KISHA KULALA KATIKA STENDI KUU YA MABASI YA UBUNGO LAKINI BAADA YA KUONA HALI YA MAISHA NI NGUMU ALIAMUA KUONDOKA NA KURUDI NYUMBANI KWA KUTUMIA NJIA HIYO AMBAYO NDIYO WALIYOITUMIA WAKATI WAKIENDA JIJINI DAR ES SALAAM
NI KAMA ANAAMBIWA HIVI:,'' WEWE NI KAMANDA HAKUNA MWENYE UWEO KAMA WAKO KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA BASI''
Picha zadi Rziki Mgaya
No comments:
Post a Comment