Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limelazimika kutumia nguvu na mabomu ya machozi kuwatawanya maelfu ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kwa kufanya vurugu na kuwakamata baadhi ya wanafunzi pamoja na wakili maarufu Albert Msando huku mbunge wa Arusha Goodbless Lema anatafutwa kwa tuhuma za kuwachochea wanafunzi hao kufanya fujo
No comments:
Post a Comment