Msanii aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba
vizuri mziki wa taarabu, Isha Mashauzi, leo hii kupitia u heeeeard na
Gossip Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya
Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo,
shilingi 758,000.
No comments:
Post a Comment