Pages

Hawa Ndio Wale Panya Wenye Uwezo wa Kugundua Mabomu Yaliyo Fukiwa Aridhini!

Panya,Morogoro
Panya hao ambao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida wanafanyiwa majaribio mkoani wa Morogoro. Jaribio hilo linafanywa na Shirika moja lisilo la kiserikali kutoka nchini Ubelgiji.
Panya,Morogoro
Inaaminika wanauwezo mkubwa wa kunusa kuliko mbwa. Hii inatokana na kuwa pua zao zipo karibu na ardhi,hali ambayo inawasaidia katika kazi yao ya utambuzi wa mabomu.
Panya,Morogoro
Panya,Morogoro

No comments: