Pages

The Hidden Insight Beauty of Tanzania Revealed. Never Seen Before!!

Tanzania Revealed Approximately, Tanzania lies on the East African coast between 1° and 11°45' south, and 29°20' and 40°35' east. It is bordered by Kenya and Uganda to the north, Rwanda, Burundi and the Democratic Republic of the Congo to the west, and Zambia, Malawi and Mozambique to the south. Tanzania (Area: 945,087 sq km) is the largest of the East African nations, and it possesses a geography as mythic as it is spectacular. The total population is estimated around 40 million, while the population of Dar es Salaam as a business city is estimated at 2.5 million.
Tanzania Revealed
Tanzania
 Dar es Salaam
 Dar es Salaam
 Dar es Salaam
Kariakoo market
Kariakoo market
     Roughly 120 tribes inhabit Tanzania, each ...

Sean Kingston - Beat It ft. Chris Brown, Wiz Khalifa

I Will Not Let An Exam Result Decide My Fate -Spoken Word

"I Will Not Let An Exam Result Decide My Fate" picks up on the education topic but takes a different stance and angle from "Why I Hate School But Love Education". This poem talks about how we have been made to think about how education and getting university degrees can give us opportunities to have a better chance in making our dream careers a reality. It also touches on how as individuals we are judged and tested by how well we perform on exams, but not all people perform well in exams so why are they made out to feel like they're dumb? The inconsistencies of the education system are really peeled open to reveal a deep problem that needs to be addressed and how society's needs have changed to make this even more apparent.
When it boils down to it, why are we misled into thinking that education is the only way forward for successful means in our work and career lives? We need to open our minds and educate ourselves that exam results aren't the barometer of success and that we can't let them decide our fate. We are in charge of our own destinies!

Trinidad James Responds To Joey Badass’ Tweets

Trinidad James
Trinidad James Responds To Joey Badass Tweets And Talks Rick Ross Rape Lyrics with Hot 93.7′s Jenny Boom Boom! watch the full interview below!

Alichokisema Roma Mkatoliki Baada ya Kutoswa Kili Awards

 Roma Mkatoliki 
Rapper Roma Mkatoliki ni mshindi wa tuzo za KTMA 2012 lakini mwaka huu 2013 hajapata nafasi yoyote ya kuwa nominated kwenye list, ni miongoni mwa mastaa wa hiphop ambao hawako kwenye list kabisa mwaka huu ambapo moja ya vigezo vya msanii kushiriki kwenye tuzo za ni lazima wimbo wake uwe umefanya vizuri kwa mwaka uliopita.
. Roma Mkatoliki

P-UNIT ft. Alicios - MOBIMBA (Video)

Picha za Mashine Mpya ya Jacky Wolper

Jacky Wolper
Jacky Wolper a.k.a Wolper Gambe right about now yupo on road na ndinga yake mpya “Mini Cooper”. Interesting issue kuhusu gari hili ni kwamba, kwa nyuma chini ya plate number mwanadada katupia maandishi ya steel kabisa kama yametoka kiwandani na gari lenyewe..yanasomeka “WOLPER GAMBE” ambalo ni jina analotumia kwenye mitandao mingi ya kijamii. Upande wa pili mpekuzi wa bongomovietz alivyomuuliza Wolper how much zimemtoka kuvuta ndinga hiyo akasema siri yake..nikatafute kwenye internet. Basi sawa.mtandao wa mini.co.za ambao ndio dealers wa Mini Cooper kusini mwa jangwa la Sahara(Sub Sahara Mini official dealers) wameonyesha price ya R233,462 kwa Mini Cooper yenye same look na ya Wolper tukizingatia version ya gari husika..ambapo kwa pesa za madafu ni Tsh 42,012,236

LEMA KUMBURUZA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MAHAKAMANI!?

Godbless Lema
Akizungumza na waandishi wa habari hii jana katika ofisi ya CHADEMA mkoa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameelezea nia yake ya kumshitaki, Magesa Mulongo kwa kumtumia ujumbe wa matisho katika simu yake ya mkononi.

Ameeleza kuwa Mulongo ametumia kila njia kutafuta simu yake ikiwa ni pamoja na kutaka kumrubuni mke wake na pia kumtumia Mbunge wa Arumeru Mashariki kuzungumza nao ili simu iyo iwasilishwe polisi ila imeshindikana.

'Wanasheria wangu wapo katika hatua za mwisho kuandaa mashitaka dhidi ya Mulongo' amedai kamanda Lema..miongoni mwa mawakili wa Lema atakuwepo Kamanda Tundu Lissu

Westminister Abbey jijini London ktk Misa Maalum ya Kuombea Amani Nchi Yetu ya Tanzania

Westminister Abbey jijini London
Wadau mbalimbali Kutoka kushoto Abu Faraji, Caroline Chipeta, Mirium Mungula na mdau baada ya ibada
Tanzania
Wadau wa serengeti freight
Urban Pulse Creative
Urban Pulse Creative
Bendara yetu ikipepea
Peter Kallaghe
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe akisalimiana na kiongozi wa...

Izzo B - Love Me (Audio)

 Izzo B

Tanzanian Ladies Night - June 1st 2013 DMV

Tanzanian Ladies Night  
You can now buy your ticket online
The $65 price includes:
- Dinner and dance
- Free Parking (Parking zipo za bure hotelini)
- Live performances
- Fashion shows
- and more

Obama Plays Daniel Day-Lewis in Hilarious Movie Spoof

President Obama stars as Daniel Day-Lewis in Steven Spielberg's spoof follow-up to Lincoln, entitled 'Obama,' in a sketch made for the White House Correspondents' Dinner 2013.

Msikilize Ndikumana wa Uwoya Ndani ya U Heard 29TH APRIL -Clouds FM

Scholarships to Learn Arabic at King Abdulaziz University in Jeddah - Saudi Arabia

King Abdulaziz University in Jeddah are now accepting applications for the 2 year Arabic scholarship program, which will begin in September 2013, inshaa'Allaah.
The program is free and accommodation, 3 daily meals, and even a monthly allowance will all be provided by the University.
The program is for males aged 17-25 ONLY. If you do not fit that criteria then please do not apply because you will not be accepted.
If you are married you can apply, but you will have to arrange and pay for your own accommodation and the husband will have to apply for his wife's visa after he arrives in Jeddah.

To apply you must do the following:
1. Complete the online student application form here: http://ali.kau.edu.sa/Pages-text12.aspx
2. Email PDF versions of the required documents to: ali@kau.edu.sa
You can see the list of required documents at the bottom of this page:http://ali.kau.edu.sa/Pages-text10.aspx
The deadline for applications is Thursday 15th May, 2013.

Tangazo!!!

Tangazo

Mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu kuombwa Online, Hii Hapa Link Yao

Mkopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza kuanza kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu pamoja na wanafunzi wanaoendelea kwa mwaka wa masomo 2013/2014 kuanzia Mei Mosi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa alisema maombi ya mikopo yatafanyika kwa njia ya mtandao kupitia anuani ya http://olas.heslb.go.tz
Alisema vipeperushi maalumu vyenye maelezo ya jinsi ya kuomba mkopo kwa njia ya mtandao vinapatikana kwenye vyuo vya elimu ya juu, ofisi za elimu za wilaya, watoa huduma ya intaneti, Makao Makuu ya Bodi ya Mikopo na ofisi za Bodi ya Mikopo za kanda.Aidha, alisema maelezo ya mikopo yanapatikana kwenye tovuti ya bodi ambayo ni www.heslb.go.tz
Alisema waombaji wapya wanatakiwa kulipa ada ya maombi ya sh 30,000 huku wanafunzi walio katika mwaka wa masomo wa tano au wa sita wataendelea kulipa ada ya maombi ya sh 10,000. "Wanafunzi wa mwaka wa pili, tatu na nne ambao walilipa ada ya maombi ya sh 30,000 katika miaka ya masomo ya 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 hawatakiwi kulipa tena ada hiyo," alisema.

Mwaisobwa alisema mwombaji anatakiwa kuwa raia wa Tanzania, kudahiliwa katika chuo cha elimu ya juu, kutokuwa na njia nyingine ya kugharamia elimu ya juu, kufaulu mitihani ya mwaka uliotangulia kwa waombaji wanaoendelea na masomo pamoja na kuwa mhitaji. "Bodi inasisitiza kwamba waombaji wa mikopo wazingatie muda uliopangwa na pia kufuata kwa umakini taratibu zote zilizoainishwa katika uombaji wa mikopo," alisema na kusisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa ziada baada ya muda uliopangwa kupita. Mwisho wa kupokea maombi hayo ya mikopo ni Juni 30.
TanzaniaDaima

President Obama at 2013 White House Correspondents' Dinner (C-SPAN)

RAW footage Prague Explosion Leaves Dozens Injured - April 29 2013

The blast, in an area popular with tourists, has injured up to 40 people as rescue teams search rubble for trapped people.A powerful explosion in the centre of Prague has injured up to 40 people and left several others buried under rubble, police have said.
The blast in a building on Divadelni Street, close to the National Theatre, was heard as far away as Prague Castle, over a mile away across the Vltava river.It blew out the windows on many of the surrounding buildings which were evacuated.
A police spokesman said it was probably caused by natural gas and that there had been about 15 people in the building, which included an office of the International Air Transport Association (IATA) and an art gallery.
Pensioner Venceslava Sehnotkova, who lives in a nearby house, told Reuters: "I was sitting quietly in my flat, making coffee. Then there was an incredible explosion. I thought the building would collapse. I looked out the window, and there was only dust everywhere."
"We have treated up to 20 people, and we are trying to find out if there are people buried in the rubble," Prague emergency service spokeswoman Jirina Ernestova told AFP.

She said there were fears three people may be buried in the rubble of the damaged building which police said was a former block of flats now used as office space.
Ms Ernestova said ambulances were staying at the scene "in case someone was pulled out of the rubble".
Zdenek Schwarz, head of the rescue service in Prague, said up to 40 people have been injured but suffered mainly bruises and cuts from glass.

Criss Wamarya - Rudi (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyPBbobe0At7hlfneZYIngFQk1fGU1GeOj8xy6-xYulTf_CHwGFS9Il39ZJmeA8KRDOVP1LPaIKJ5EkUKPc0AmV7a3T4uz3Z68F_Fv7RS4b0XfDNCCKv5dHUCh83vMIipTQwWNWuxIMt8/s1600/criss+RUDI.jpg

The PlayList April 28 - Kaseja (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlBcU3bwNiytH-ZeYkJN0r12_itde0lGFDj2nKUE2zMVJcqjwd9GrcjVasLWkSmYB3tIXTRIkwZaR8bxabOcvVl6MI83ciQB17YMiCDwBaB5i2liTOymhi-VJ2zRm2-Xd-2oRt98KpV-E/s1600/juma_kaseja_cropped.jpg

Vatoloko Gangz 5 Audio Tracks

Vatoloco Gangz ft Kevoo-Face me
Vatoloco Gangz-Tumekuja fanya kazi Vatoloco Gangz ft FidoVato-Tamaa na Jala Vatoloco Gangz ft GeezMabov-Born To b a Soldier IzVato-Punch Kwa Punch

Silver - Nafanya (Video)

Cheki Bongo Fleva Walivyofunika Kampeni ya 'Airtel Yatosha' Mwanza

Madee
Madee akitumbuiza.
Ney wa Mitego
Ney wa Mitego akifanya vitu vyake.

Dogo D
Msanii Chipukizi aliyeonyesha kipaji cha hali ya juu kwa kughani mashairi yenye mvuto kwa miondoko ya HIPHOP wa mkoani Mwanza maarufu kwa jina la Dogo D alifanya burudani kali katika tamasha maalum la Airtel Yatosha mkoani Mwanza katika viwanja vya Furahisha
Bongo Fleva
WASANII wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), wamefunika kwa kutoa burudani ya nguvu kwenye kampeni inayoendeshwa na Kampuni ya Airtel nchini ya Airtel Yatosha na kuwapa raha maelfu ya wapenzi wa muziki huo waliofurika katika viwanja vya wazi vya Furahisha Jijini Mwanza.
Kampeni hiyo ya siku mbili iliyofanyika katika viwanja hivyo na kushuhudia na maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Mwanza kupata ushuhuda wa Airtel yatosha kwa kununua laini za simu za mkononi za Kampuni hiyo na jinsi ya kutumia huduma ya Internet, kuongea kwa kujiunga na kupata dakika nyingi za muda wa maongezi kwenda mitandao mingine kwa bei nafuu zaidi kwa laini moja tu ya Airtel.

Okoa Masha ya Mtoto Abdallah

Mtoto Abdallah
Mtoto Abdallah
Mtoto Abdallah anasumbuliwa na tatizo la MOYO, Moyo wake ni Mkubwa, Kwa sasa Amelazwa Katika Wodi ya Watoto Katika Hospitali ya Mnazi mmoja, ambapo anaendelea kupata Matibabu lakini LENGO ni kusafirishwa Nje yaNchi. Pia Anasumbuliwa na Maradhi ya Tumbo Kujaa Maji ambapo analazimika Kutolewa Maji Kila Baada ya Siku 3.
Kwa Yoyote Anayeweza Kutoa Kiasi chochote Cha Msaada Unaweza Kutumia Namba hii 0774 64 87 80 kuwasiliana Mama Mzazi wa Abdallah.

Historic First as Stockholm Imam Calls to Prayer - Fittja Mosque

Worshippers at the Fittja mosque in southern Stockholm on Friday heard Sweden's first-ever call to prayer, which brought some congregation members to tears of joy.
Guluz Kayhan, 45, had tears in her eyes when the notes of Sweden's first-ever call to prayer ended and worshippers hurried up the steps of the mosque.

"I don't go to the mosque as often as before but I wanted to experience this," she told The Local as she wiped tears from her blue eyes. Flanked by her two daughters, Kayhan made her way inside, slipping off her shoes. "I'm really proud of Sweden," said her daughters' friend Havva Göcmenoglu, 24. "I am proud of being part of a society that respects different religions."
Yet as the spring sun broke through the clouds after a bitterly dour morning, two men in a red Volvo 740 crept up to the curb and halted, just to spin their wheels so furiously the rubber shrieked as much as it burned. People making their way into the mosque turned their heads, but most seemed intent on ignoring the odd act. The congregation was a mix of people who moved to Sweden from countries such as Turkey decades ago, but a number of people who immigrated more recently joined in too.

Kashif Rashid, 28, from Lahore in Pakistan just left Italy to join his brother in Sweden.
"In Italy I didn't even have a mosque to go to," he said on his way to the mosque, which is..

Alex Massawe Mtegoni Nchini Afrika Kusini

http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1761294/highRes/497289/-/maxw/600/-/a3h8ft/-/massawe.jpg
Mfanyabiashara maarufu Alex Massawe ameingia kwenye mtego wa Polisi wa Afrika Kusini ambao wamekuwa wakimsaka baada ya kuombwa na Serikali ya Tanzania.
Habari kutoka katika Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baada ya Polisi wa Tanzania kuthibitishwa na maofisa wa Afrika Kusini kuwa wamefahamu aliko wameandaa maombi kwenda Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) ili akamatwe na kurejeshwa nchini.

Licha ya kutokufahamika kwa sababu za kusakwa kwake, hakuna kiongozi yeyote wa polisi aliyekuwa tayari kuzungumzia tukio hilo lakini chanzo cha kuaminika kutoka katika jeshi hilo kilieleza kuwa wenzao wa Afrika Kusini wamewaeleza kuwa wamefahamu aliko.

Kusakwa kwa Massawe kumezua maswali kadhaa kutokana na kutokuwekwa wazi. Lakini Aprili 4, mwaka huu alitajwa mahakamani katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Onesphory Kituly ambaye aliuawa katika mazingira ya kutatanisha Novemba 6, 2011 akiwa nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam.

Katika kesi hiyo ambayo mshtakiwa wa kwanza ni mfanyabiashara maarufu, Abubakar Marijani ‘Papaa Msofe’, mshitakiwa mwingine, Makongoro Joseph Nyerere alitoa malalamiko, mbele ya ..

The Boy Who Was Jailed For Life at The Age of 12

Paul Gingerich
Paul Gingerich, now 15, sits in his cramped cell in the Indiana juvenile detention centre where he has spent the last three years (left). At the age of 12 (inset) he was sentenced to 25-years in prison for his part in shooting dead a friend's stepfather. While his crime was undoubtedly terrible, what is perhaps equally shocking is that Gingerich was tried as an adult (right).

Why I Hate School But Love Education -Spoken Word

As the cyclical and seemingly never ending debate about education rages on, the topic - somewhat ironically, often poses more questions than it provides answers. But what is the value of mainstream schooling?
 Why is it that some of the most high profile and successful figures within the Western world openly admit to never having completed any form of higher learning? Paying homage to Jefferson Bethke's "Why I Hate Religion but Love Jesus", a piece that received 22 million views in the space of a week, I address a number of these issues in my offering "Why I Hate School, but Love Education".
 With scores of school leavers wanting to further their education with no guarantee of their dream job at the end of it, we should ask ourselves whether qualifications still hold the same value now as they did in previous years? Does success in the school system correlate to success in life? Or is the school system simply geared towards fact retention and regurgitation? What is true education?

A Man Facing up to 15 Years in Prison After Raping His Pet Dogs

Kurtis Peterson,
A man from Michigan recently found out he was facing up to 15 years in prison after he was convicted of raping with two of his pet dogs on two separate occasions. The same (unfortunate) person caught him both times.

According to Michigan Live News, 37-year-old Kurtis Peterson, a convicted sex offender, was first caught “penetrating” one of his dogs — a bluee heeler — by a woman named Joyce Yeaw at his apartment in Muskegon, Mich. on his bed in April 2012.
At the time, Peterson told her he was “just hugging his dog.” (Right…) But he was busted again by Joyce just two months later when she was returning keys she borrowed from his roommate, and she walked in on him having sex with his pit bull.

Las Vegas Woman Caught Having Sex with Pit Bull in Her Backyard in Broad Daylight
This time she called the cops (honestly she should have called them the first time…) and Peterson was arrested. Yeaw said, “He was having sex with the dog, it was disgusting.”

When Peterson was questioned by police, he claimed he was “just playing with the dog” in the April incident, but he became “sexually aroused from accidental contact from the animal’s rear,” which led to the later assault. It isn’t known whether..

Kipanya Leo

Kipanya

Breaking Newz! LEMA AACHIWA KWA DHAMANA!!

Arusha mjini Mh Godbles Lema
Mbunge wa Arusha mjini Mh Godbles Lema ameachiwa kwa dhamana ya kushtakiwa kwa Makosa ya Uchochezi katika Mahakama ya Mkoa wa Arusha
Katika Mahakama hiyo kulikuwa na umati mkubwa wa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
CHADEMACHADEMA

LADY JAYDEE Kuingiza ALBUM Yake Mpya Sokoni Kwa Mtindo Huu

Mwanamuziki LADY JAYDEE anategemea kuachia ALBUM yake nyingine itakayofahamika kama NOTHING BUT THE TRUTH ifikapo mwezi ujao ... Na hivi ndivyo itakavyopatikana ...
LADY JAYDEE

Mkulima wa Kijiji cha Mgagara Ameuwawa na Kuchomwa Moto.

Kundi la wananchi wenye hasira katika kijiji cha Magara wilayani Babati mkoani Manyara wamemuua kwa kumkatakata mkulima wa kijiji Hicho kwa vitu vyenye ncha kali na kisha kumchoma kwa moto baada ya kumtuhumu awali kuhusika katika tukio la kumuua mkulima Mwenzake kutokana na mgogoro wa ardhi.

PICHA ZA MTOTO WA MIAKA 14 ALIESAFIRI KWENYE CHESIS YA BASI KUTOKA DAR HADI DODOMA!!

JOSEPH DOTTO, MTOTO Joseph Dotto(14) AKITOLEWA KATIKA CHASES YA BUS LA KAMPUNI YA MOHAMED TRANS LENYE NAMBA ZA USAJILI T 433 BNG KATIKA STENDI YA MABASI YA MJINI DODOMA. MTOTO HUYU ALISAFIRI TAKRIBAN UMBALI WA KILOMITA 500 KUTOKEA JIJINI DAR ES SALAAM AMBAKO ALIAMUA KUTUMIA NJIA HIYO YA MKATO KUSAFIRI KUTOKANA NA KUKOSA NAULI, ALIKUWA AKIELEKEA KAHAMA MKOANI SHINYANGA.
JOSEPH DOTTO,
JOSEPH DOTTO,
MTOTO JOSEPH AKIZONGWA NA BAADHI YA WAPIGA DEBE WA STENDI KUU YA DODOMA HUKU WENGINE WAKIMSIFIA KWA UJASIRI WAKE WA KUSAFIRI CHINI YA UVUNGU WA BASI HILO KWA UMBALI MREFU

KWA MUJIBU WA MAELEZO YA DOGO HUYU NI KWAMBA ALIISHI JIJINI DAR AKIWA NA WENZIE WAWILI AMBAO WALIKUWA WAKIFANYA KAZI YA KUOKOTA MAKOPO NA KUUZA NA KISHA KULALA KATIKA STENDI KUU YA MABASI YA UBUNGO LAKINI BAADA YA KUONA HALI YA MAISHA NI NGUMU ALIAMUA KUONDOKA NA KURUDI NYUMBANI KWA KUTUMIA NJIA HIYO AMBAYO NDIYO WALIYOITUMIA WAKATI WAKIENDA JIJINI DAR ES SALAAM
JOSEPH DOTTO,
JOSEPH DOTTO,
NI KAMA ANAAMBIWA HIVI:,'' WEWE NI KAMANDA HAKUNA MWENYE UWEO KAMA WAKO KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA BASI''
JOSEPH DOTTO,
Picha zadi Rziki Mgaya

Kisa Cha Mchimba Madini (A Miner's Tale Swahili)

Joakim ni mfanyakazi mhamiaji ambaye anahangaika kutimiza wajibu wake kwa mke wake mkubwa aliyeko Msumbiji na pia kwa mkewe mdogo anayeishi naye Afrika Kusini. Wazee wanasisitiza kuwa Joakim lazima atimize wajibu wake wa kiutamaduni na kuwapatia wake zake watoto zaidi. Je, Joakim atafanyaje?

Andrekim ft Big Born 90 - G.S.A (Video)

Kumbukumbu ya Miaka 23 ya Ajali ya Ndege ya Chipolopolo

Ilikuwa tarehe kama ya jana miaka 23 iliyopita wakati ndege iliyokuwa imebeba wachezaji 18 wa kikosi cha timu ya taifa ya Zambia Chipolopolo , watu wa nne wa benchi la ufundi akiwepo kocha mkuu wa timu hiyo Godfrey Ucar Chitalu na wasaidizi wake watatu , na viongozi watatu wa chama cha soka cha Zambia ilipopata ajali mbaya kwenyenpwani ya Gabon na kuua watu wote 30 waliokuwemo .

Ndege hiyo aina ya DHC-5D Buffalo ikiwa na namba za usajili (AF-319) ilianguka na kuzama kwenye bahari ya Atlantic karibu kabisa na pwani ya mji mkuu wa Gabon Libreville baada ya matatizo ya kiufundi . Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na jeshi la Gabon ndege hiyo ilipata hitilafu iliyosababisha moto kwenye moja ya Injini zake hali iliyomlazimu rubani Kanali Fenton Mhone kuizima injini hiyo , hata hivyo Rubani alikosea na kuzima injini nyingine iliyokuwa nzima hali iliyofanya ndege hiyo kushindwa kwenda vizuri na hatimaye kuanguka baharini .
Zambia ilikuwa njiani kuelekea Senegal ilikokuwa inaenda kucheza na timu ya taifa hilo katika michezo ya hatua za mwisho ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 1994 huko Marekani .
Moja ya watu waliosalimika kwenye ajali hiyo alikuwa nyota wa enzi hizo wa timu ya..