Pages

Yanga Yatoka Sare na Coastal Union

 Coastal Union
Nizar Khalfan akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga.
Yanga
Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Coastal Union ya Tanga, Philip Mugenzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1.
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao wakati ikipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara. Yanga tayari imetwaa ubingwa huo baada ya kufikisha pointi 57 ambazo hakuna timu yoyote inayoweza kuzifikia.Picha na Dande Francis

No comments: