PROFESSOR JAY AJIUNGA CHADEMA RASMI LEO. SUGU AMKABIDHI KADI YA CHADEMA..
Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesor Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma..