TRA Imeteketeza Shehena Kubwa ya Vipodozi Vyenye Viambata vya Sumu (Video)
Mamlaka ya mapato -TRA mkoani Mbeya imeteketeza shehena kubwa ya
vipodozi vyenye viambata vya sumu pamoja na pombe inayoingizwa nchini
kinyume cha sheria ikiwa imefungwa kwenye pakti za nailoni,
zinazojulikana kwa jina maarufu la viroba.
No comments:
Post a Comment