Pages

Tanzania Illivyowakilishwa Kwenye Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner

Tanzania nchini Marekan
Suleiman SalehKaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka akisindikizwa na Khamisa a.k.a Missy Temeke alipokua akiingia ndani ya ukumbi wa Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamisi Mei 23,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel uliopo Connecticut Ave, Jijini Washington Dc.
Ofisa wa Balozi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bw. Suleiman Saleh kwenye Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 23, 2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini Washington Dc.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bw. Iddi Sandaly kiwa na Abdul (katikati) pamoja na Mwana Mitindo mbunifu wa (Kwetu Fashion Design) Khamisa a.k.a Missy Temeke.
Khamisa a.k.a Missy Temeke 
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.Lily Munanka, akiwa na baadhi ya...
maafisa wa ubalozi wakati wimbo wa taifa ulipokua ukipigwa.
Marekani na Mexico Mhe.Lily Munanka 
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Lily Munanka wapili toka kulia, akipata picha ya pamoja na waTanzania waliohudhuria katika Tamasha la Siku ya Afrika 2013 (Golden Jubilee Gala Dinner).
 
Balozi wa Kenya nchini Marekani, Mhe. Elkanah Odembo, akitoa Hotuba kwenye Tamasha la Africa Day 2013-Golden Jubilee Gala Dinner Siku ya Alhamis Mei 23,2013 ndani ya Ukumbi wa Hilton Hotel Jijini Washington Dc.
Washington Dc 
Balozi wa UNICEF, na pia aliyekuwa mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu katika ligi ya Marekani (NBA) kutoka DRC, Dikembe Mutombo, akiwa kwenye African Day Gala Dinner 2013 inayofanyika kila mwaka May 23, 2013 Jijini Washington DC.

No comments: