Pages

WATAALAM WA TIBA ZA ASILI NA TIBA MBADALA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Dkt. Mohamed Mohamed
Kaimu mganga mkuu wa serikali Dkt. Mohamed Mohamed akifungua mkutano wa Baraza la wataalam wa Tiba za Asili na Tiba mbadala leo jijini Dar es salaam waliokutana kujadili mafanikio, changamoto na mipango mbalimbali waliyonayo katika utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi.
 Ustawi wa Jamii Dkt.Paulo Mohammed Kaimu Mkurugenzi wa Masuala ya Tiba za Asili na Tiba Mbadala wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Paulo Mohammed akitoa ufafanuzi wa hali halisi ya Tiba za Asili na Tiba mbadala nchini Tanzania na mpango wa serikali wa kuendelea kuthamini huduma inayotolewa na wataalam hao wakati wa mkutano wa Baraza la wataalam wa Tiba za Asili na Tiba mbadala.
Shirika la Afya Duniani (WHO) Rose Shija Sehemu ya wataalam wa Tiba za Asili na Tiba mbadala waliohudhuria mkutano wa Baraza la Wataalam wa tiba hiyo wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Mratibu wa Tiba za Asili na Tiba Mbadala kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Rose Shija akisoma salam za mwakilishi wa Shirika la..
Endelea Kusoma >> Kajuna

No comments: