
KIFO CHA ALBERT MANGWAIR 28/May 2013, R.I.P!!! kiukwel alikuwa yeye na jamaa zake 3 yan walikuwa wa 4, Leo asubuh walikuwa wanarud toka viwanja na Ngwair tiketi yake ya ndege ilikuwa tayar kwa ajir yakusafir Leo hivyo tulikuwa tayar kumsindkiza Airport Leo Asubuh, hvyo wakamgongea mshikaj akawafungulia, waliingia ndan lakn wakawa wapo kama tungi hivi, sasa ikawa wanaendelea kula mambo yao ndan ila ghafla kama Mangwair akaanza kujisikia ovyo, then akaanguka nakujihs anapoteza faham watu wakaona kama anafanya masiala, so ikazd had mida ya saa sita mchana ikawa serious pia jamaa mwingine nae akapoteza faham hvyo hvyo coz walizidisha mambo kutumia, nas tukaitwa kumchek ikabd tuogope mpaka mida ya saa nane mchana ilibd tumpigie simu jamaa fulan Msouth Africa ni Taxi Driver ili tumpeleke Hospital coz sis tuliogopa kumpeleka na magar yetu Binafsi, akaja tulimchukua pamoja na yule mwingne had hospital kufika Doctor kumchek tayar ameshakufa na yule mwingne bado yu hai ila hali yake sio nzur, ilibd jamaa Kat yetu asign kuhusu na kufa kwa Mangwair na kesho Doctor atatupatia karatas ili tukabdhiwa mwili wake kwa ajr yakuusafirisha Tanzania!! Hivyo Ndvyo ilivyokuwa had kufa kwa Albert Mangwair R.I.P!!!
No comments:
Post a Comment