
DJ Choka (kushoto) akimpatia tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop Mwanamuziki Kala Jeremiah.

Suma Mnazareti (kushoto) akimpatia tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi wa Hip Hop, Young Killer.

Prodyuza All Baucha akimkabidhi Kiboya tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip Hop (Legendary) kwa niaba ya Joseph Haule 'Profesa Jay' (GPL)
No comments:
Post a Comment