Wakazi Mwananyamala Wafunga Barabara Kushinikiza Matuta Kufuatiwa Kugongwa Mwanafunzi (Video)
Wakazi wa Mwananyamala Ujiji maduka matatu jijini Dar es Salaam
wamefunga barabara kushinikiza manispaa ya Kinondoni kuweka matuta
katika eneo hilo baada ya mwanafunzi wa miaka nane kugongwa na gari na
kufariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment