Unga wa ngano tani zaidi ya 700 umekwama bandarini Zanzibar baada ya
kuharibika na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar hadi sasa kushindwa
kupata mahali pa kuangamiza hali hiyo imesababisha kuomba msaada wa
kitalaamu kutoka serikali ya muungano.