
Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbil i asubuhi Ruge Ataongelea issue ya Jay Dee ,Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.

No comments:
Post a Comment