Karibu katika mahojiano kati ya Jamii Production na mmoja kati ya maDj waTanzania ambao kwa zaidi ya muongo mmoja amekuwa akifanya kazi katika kituo kinachoongoza kwa burudani katika maeneo ya Washington DC cha Kiss Fm (93.9 FM WKYS).
Katika mahojiano haya, Dj Joe anaeleza mengi
Katika mahojiano haya, Dj Joe anaeleza mengi