Pages

Lady JayDee Amefunguliwa Kesi Mahakamani

Lady JayDee
Kupitia moja ya kurasa za kijamii ya mwanamuziki Lady JayDee ameandika kuwa amepata taarifa kuwa amefunguliwa kesi mahakamani ila hajasema ni nani aliemfungulia kesi hiyo na ni mashtaka yanayohusu nini ...

Lady JayDee