Wakipandishwa kwenye Difenda kwa nguvu
Askari aliyevaa nguo za kiraia akimsulubu mmoja wa wanafunzi wa IFM mbele ya ,,
kituo cha polisi
Wanafunzi hao wakielekea kwenye kituo cha polisi huku wakiamriwa kunyoosha mikono juu baada ya kuwekewa mtego na kunaswa.
Mwanafunzi akipandishwa kwenye Difenda.
Kundi hili lilijificha kwenye baa iliyopo eneo hilo wakipigwa mabomu na kuchomolewa.
Hiki ndicho kikosi Kizima kilichowadhibiti wanafunzi wa IFM ndani ya dakika 15