Pages

Wamachinga wa Kariakoo Wawatembezea Kichapo Mgambo na Kuwakabidhi kwa Jeshi la Polisi

Askari mgambo wa jiji la Dar es Salaam wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya wafanyabiashara ndondogo maarufu kama Machinga kufanya msako wa kuwakamata na kuwapa kipigo, kisha kuwakabidhi kwa jeshi la polisi kutokana na madai ya mmojawapo ya askari wa jiji kujaribu kumpokonya silaha askari polisi aliyekuwa akimtetea mmoja wa Machinga asinyang`anywe bidhaa zake.