Baada ya wanasheria wa msanii huyo ambao ni Peter kibatala na Kennedy Fungamtama na Fulgence Massawe baada ya kutuma maombi ya dhamana ya kesi ya Lulu ili isomwe haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu mahabusu,sasa habari tulizozipata hivi punde kutoka mahakama kuu ni kwamba lulu ameachiwa kwa dhamana.
Lulu akikabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia Steve Kanumba April, 7, 2012 huko Sinza Vatican,jijini Dar es Salaam.
Lulu akikabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia Steve Kanumba April, 7, 2012 huko Sinza Vatican,jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment