Pages

Video ya Polisi Wakitumia Nguvu Kutawanya Wanafunzi wa IFM


Jeshi la polisi limelazimika kutumia nguvu baada ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha IFM kukataa kutii amri na kuandamana makao makuu ya polisi, feri na kivukoni kwa madai ya wenzao wawili kulawitiwa na watu wanaosadikika kuwa ni majambazi.