Mkurugenzi wa Oganizesheni na Mafunzo Benson Kigaila akifanunua kwa Waandishi wa Habari kuhusu tuhuma za Nape sakata la Hoja ya Chadema ni kwamba kama Nape angekuwa mtoto halali wa Marehemu Brigedia Moses Nnauye basi lazima angetajwa kwenye tangazo hilo la kumbukumbu ya kifo cha mwanasiasa huyo maarufu. Je jina la Nape lilisahaulika kimakosa?Je hoja ya Chadema ina ukweli ndani yake?Labda Nape atajitahidi kutolea ufafanuzi tashwishwi hii.
