Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Begum Taj na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania
wakimsubiri Rais Jakaya Kikwete uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, tayari kuanza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mke wa Rais wa Mali, Mama Touré
Lobbo Traoré waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles
de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuwasili tayari kuanza ziara
ya kiserikali ya siku tatu.

Mama
Salma Kikwete akiongea na mke wa Rais wa Mali, Mama Touré Lobbo Traoré
waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle
jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuwasili tayari kuanza ziara ya
kiserikali ya siku tatu.
(PICHA NA IKULU)