Jeshi la polisi mkoani Arusha kwa kushirkiana na raia wema limefanikiwa kukamata kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya aina Mirungi yakisafirishwa kwenye gari lililokuwa linashikiliwa na mahakama baada ya kukamatwa na kosa kama hilo mwezi Machi Mwaka 2012