Pages

Jeshi la Polisi Wayafunga Madanguro Mwananyamala

Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni jijini Dar es salaam limeyafunga madanguro yaliyopo Mwananyamala na kuwakamata Akinadada 35 waliokuwa wakiuza miili yao pamoja na mama wa miaka 72 ambae anadaiwa kuwa ndie mmiliki wa madanguro hayo