POLISI WAMEKAMATA MITAMBO YA KUTENGENEZA DHAHABU FEKI
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kukamata mitambo ya kutengeneza dhahabu feki na kukamatwa kwa jambazi sugu mkazi wa moshi na arusha Alex Lymo ambae alikua anatafutwa kwa mauaji ya polisi watatu na mbwa .