Ni Zavara hapa.
"In The Congo", is the first major musical collaborative effort of its kind to raise awareness on what some are calling the third World War. Calling for a new wave of Green Technology and Fair Trade Electronics, this music video highlights the main cause of rape and genocide in the Eastern Congo region as a desperate scramble for the minerals that power every cell phone and laptop. Produced and directed by Tanzanian Hip Hop guru, Zavara Mponjika, the video features US Hip Hop Ambassador Toni Blackman’s collective, Rhyme Like A Girl, alongside California based Kenyan Afro-Soul artist and founder of Activate Afrika, Nasambu. In times when the mainstream media rarely highlights issues of consequence, leaving many people in a state of ignorance, these artists have joined together across time, space, and geographical borders to express their views on this global war and human rights catastrophe that is urgently.
Nawatambulisha kazi mpya niliyofanikiwa kuipakua siku hizi za karibuni.. Hii kazi ni limbo uitwao In The Congo, limbo huh unahusisha kundi la Hip Hop tok a new York, Marekani liitwalo Rhyme Like A Girl wakimshirikisha mwanadada aitwae Nasambu msanii wa Afrosoul wa California Marekani ambaye ana asili ya kenya. Wimbo huu ni juhudi za ushirikiano baina ya wasanii na mimi muandaji kujumuika na jamaa zetu wanaotaabika huko Kongo. Kuna wimbo pamoja na video, pia viungo vyenye makala kadhaa zilokwisha andikwa kuhusu mradi huu.

In The Congo video yake ilizinduliwa kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la filamu huko Malaysia tarehe 30 ya mwezi wa tano mwaka huu. ulifanyika uzinduzi rasmi Nairobi kenya wiki iliyopita, video hiyo imeteuliwa pia kuonyeshwa Zanzibar International film Festival, Salam Kivu tamasha la filamu huko Kongo mwezi wa saba. Husika kwenye huu mradi kwa kusaidia kusambaza huu wimbo kwenye mitandao ya jamii na wote mnowasiliana nao, ujumbe wake ni WITO kwa jamii kulizingatia suala la Kongo na kufanya kila wawezalo kuondoa jamii ya huko kwenye MAANGAMIZI. Asanteni na karibuni
Ni Zavara hapa.
Ni Zavara hapa.
No comments:
Post a Comment