Antonio Candreva akifunga penati yake kwa staili ya 'Panenka' ambayo kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuweza kuokoa. (Habari kamili iko chini ya picha hizi).
Xavi akimtungua Gianluigi Buffon aliyeanguka upande wa kushoto (kama anavyoonekana), huku mpira ukienda kulia.
Kipa wa Hispania, Iker Casillas hakuwa akiangalia upigaji wa penati za nchi yake, Hapa akiziba uso ili asione nyota wa Hispania akipiga penati yake
Mautundu ya Daniele De Rossi, yakimpeleka sokoni Casillas kama anavyoonekana.
Gerard Pique akimpoteza Buffon. Chini nyota wa muziki wa Pop, Shakira (mpenzi wa Pique), akimshangilia.