
Naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri
mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...sina sababu ya kufuta
wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza
'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack
of knowledge and understanding...so hata uwe na cheo gani kama
ukishindwa kuwa na 'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa
taifa u are stupid...ambayo kwa kiswahili ndio mpumbavu"
No comments:
Post a Comment