TBS Imepiga Marufuku Uingizaji wa Nguo za Ndani za Mitumba
Shirika la viwango nchini --TBS limepiga marufuku uingizaji na uuzwaji wa bidhaa za nguo za ndani za mitumba na kusema litachukua hatua kali kwa wauzaji na waingizaji wa bidhaa hizo huku likiwataka wananchi kuendelea kutumia bidhaa zenye ubora.
No comments:
Post a Comment