TUWAFIKIE TANZANIA ORGANISATION Ni asasi isiyokua ya Kiserikali inayojiendesha sio kwa malengo ya kupata faida tunajishughulisha na uhamasishaji wa maendeleo ya elimu vijijini kuhakikisha watoto na vijana wanapata elimu bora ili waweze kuwa wabunifu na kujitegemea.
Unaweza kutuunga mkono kwa kuchangia kuanzia 1,000/= na kuendelea kuwezesha ujenzi wa maktaba ya jamii katika kijiji cha Lugalo.kwa kufanya hivyo utakua umewasidia wanafunzi na jamiii kwa ujumla ya lugalo na vijiji vya jirani kuweza kupata taarifa mbalimbali na kuelimika.Tunaamini matatizo yanayoikabili jamii yetu sisi wenyewe tunatakiwa tuwe wa kwanza kuyatatua kabla ya watu wengine kutoka nje kuja kufanya badala yetu.Mabadiliko ni mimi na wewe pamoja tunaweza.
Tutakua tunatoa taarifa ya fedha iliyopatikana kupitia hili kundi letu.Unaweza changia kupitia MPesa,Tigo Pesa au Account no yetu CRDB kama inavyoonekana kwenye picha. Pia tutakua tukiwajulisha kiasi kilichopatikana na waliochangia kupitia page yetu facebook,website yetu na kwenye wall yangu
MPESA 0754 981 629 TIGO PESA 0712 852 665 CRDB BANK A/C No. 0150450143000
For any enquiries, questions, ideas and any request of engagement, please fill free to contact us and share with us. We are always available. Please visit www.tuwafikie.org