Pages

Mvua Kali Zaharibu Nyumba Kadhaa Mkoani Mtwara. (Video)

Mvua kubwa zilizonyesha mkoani Mtwara zimesababisha nyumba kadhaa mitaa ya Magomeni Matopeni na Nkana-red katika manispaa ya Mtwara/Mikindani kubomoka, zingine kuingiwa na maji na kusababisha hasara kubwa ya mali na maisha ya watu