.Mahakama ya juu kabisa nchini India leo imemhukumu mwigizaji filamu za Kihindi maarufu kama Bollywood, Sanjay Dutt, kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kupatikana hatia ya kukutwa na silaha ambazo zilikuwa sehemu ya shehena ya silaha zilizotumiwa katika shambulio la mjini Mumbai mwaka 1993.
Mahakama hiyo ilishikilia hukumu ya Dutt iliyotolewa na mahakama ya kupambana na ugaidi mwaka 2007, lakini ikapunguza kifungo chake cha miaka sita na kuwa mitano. Mahakama hiyo ya juu kabisa India pia imeshikilia hukumu ya kifo iliyotolewa kwa Yakub Abdul Razzak Memon, ambaye ni... Endelea kusoma>>>
No comments:
Post a Comment