Pages

Mablogger Wa Dar Wakishow Love

Mablogger Wa Dar
Wana wa blog Kutoka Jiji la Dar wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya kukutana katika kazi ndani ya viwanja vya leaders mwisho wa wiki iliyopita. Inapendeza sana Kuona mnakutana sehemu na mnabadilishana mawazo mawili matatu