Pages

Soggy Doggy Kutua Redio Ebony FM ya Iringa

Soggy Doggy,Redio Ebony FM ya Iringa
Msanii/Mtangazaji Soggy Doggy ameacha mzigo pande za redio Uhuru na leo rasmi ameondoka Dar es salaam nakwenda Iringa ambapo atakuwa akifanya kazi katika kituo kingine cha Redio kinachoenda kwa jina la Ebony Fm.
Soggy Doggy ashawahi kufanya kazi katika vituo vya redio mbalimbali hapa nchini kama Arusha na Mwanza.