Jitihada za Makampuni Mbalimbali ya Zima Moto mchana wa leo zimeshindwa kuzima Moto na kuokoa mali zenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 30, mali ya Kampuni ya kusambaza Vifaa vya Ujenzi na Usafirishaji ya SUNDA LIMITED, iliyopo katika eneo la UBUNGO jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha Habari cha CLOUDS FM kimeeleza kuwa Moto huo ulianza muda wa saa tano Asubuhi
Magari ya vikosi vya zimamoto yakimwaga maji ili kuzima moto huo.
Vifaa vilivyookolewa kutoka ndani ya ghara hilo.
Jitihada za kuzima moto huo zikiendelea.......
Moto huo ukizidi kusambaa...