Pages

Dj Fetty'z 5 Best Rappers/ MC Kutoka Bongo

Fid q
Fid q, Ngosha the swagga don, leo hii amethibitisha ukubwa wa kazi zake na heshima kubwa anayoipata kutoka katika jamii inayofatilia burudani nchini.katika rappers/Mc bongo amethibitisha kuwa namba moja kupitia mtandao wa kijamii wa facebook na twitter, kwa kupata asilimia zaidi ya 90 ya kura zote, na kumfanya kuwa best of the best rappers / mc..huku akifatiwa na Stamina, Roma, Nikki Mbishi na Joe makini..list hii imetokana na comments za mashabiki kupitia mitandao ya jamii


Stamina

Roma

Nikki mbishi

Joe Makini