Jeans zinazobana maarufu kama Skinny Jeans zimetajwa kuwa
sababu ya kuwafanya vijana wengi kupatwa na matatizo ya uzazi kwa sasa.
Dr. Hillary Jones ndiye aliyeelezea kwa kina matatizo hayo
yanayowamaliza uzazi vijana wengi sasa wakati akizungumza na Mtandao wa Global
Grid.
Dr. Hillary amesema Jeans hizo zinazobana zinasababisha matatizo ya Kende kupinda ambapo kitaalam ni Twisted Testcles), Bladder
weakness na maambukizi kwenye njia ya mkojo yaani Urinary Tract infections.
Matatizo mengine aliyoyataja ni pamoja na Kupungua kwa Manii
(low sperm count) na maambukizi ya fangasi ambayo yote husababishwa na Jeansi
hizo ambazo ndo zinaonekana kama Fassion kwa sasa na kupata umaarufu wa Majina
likiwemo la kitaani ambapo zinaitwa Minyonyo.
Haya ni baadhi ya Maneno kutoka kwa Dr. Hillary
“I have seen several cases of Men who have twisted their
Testicles due to wearing jeans that are far too tight. My advice would be make
sure you leave plenty of room around the groin area and that your pants and
trousers feel confortable so you’re not being restricted in any way. Wearing tight-fittin clothing over
a prolonged period of time can lead to urinary tract infections leading to
over-activity of the bladder-a type of Bladder weakness as well as low Sperm
count and Fungal Infections. Please don’t put style before health.”
Wafuatao ni badhi ya wasanii wa East Africa Wanaova Jeans za
Kubana.
Barnaba Boy |
Cpwaa |
Diamond |
Bob Junior..... "angalia ilivyombana |
Tuff Dizzo..... "Kutoka Mombasa Kenya" Kazi Kwenu Bongo Fleva |
No comments:
Post a Comment