Pages

Simba Mtoto na Dar Express Uso kwa Uso Mto wami

Basi la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami. Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze.

Hali ndivyo ilivyokuwa...
darslamproductions.blogspot.com
Abiria wakiwashusha wenzao.
darslamproductions.blogspot.com
darslamproductions.blogspot.com

No comments: