Pages

Polisi Watembeza Kichapo katika Ibada Maalum ya Kuwaombea Waliofariki Katika Meli ya Mv Skagit!

Jeshi la polisi kisiwani Zanzbar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wafuasi wa kikundi cha uamsho waliokusanyika katika mskiti kwa ajili ya ibada maalum ya kuombea waliofariki kutokana na kuzama kwa meli ya Mv Skagit.

No comments: