Hii ndio MV Skagit ikionekana kwa angani jinsi inavyozama.
Hii ndio boti iliyozama.

Uokoaji ukiendelea July 18 2012 usiku.
Miili na waliookolewa ikiwa imewasili Bandarini Zanzibar.
Imeripotiwa
kwamba kwa saa mbili boti kadhaa za uokoaji zilishindwa kuondoka bandarini kutokana na mafuta kukosekana, hapa ni mafuta yakiwa
yamewasili.
Boti ikiondoka baada ya kupata mafuta.
Miili ikiwa imewasili.
No comments:
Post a Comment