Interview ya Mtoto Alieandika Majibu ya Bongo Fleva Kwenye Mtihani wa Form IV (four)
Julius Dawson "ELINAJA" (23) mkazi wa Tabata, Segera, asili yao Marangu, Kilimanjaro, ni kijana ambaye aliandika mashairi ya nyimbo za "Bongo Fleva" kwenye mtihani wake wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2011.
Ameomba msamaha kwa jamii nzima kwa yeyote yule aliyekwaza kwa alichokifanya, lakini akasisitiza kuwa alifanya hivyo kwa kuwa alitaka kufikisha ujumbe ambao umekuwa ukipuuzwa na Wazazi, Walezi na jamii nzima, wa kuwasaidia watoto kukuza vipaji vyao ambavyo baadaye hugeuka kuwa ajira rasmi na njia kuu ya kipato cha kuendesha maisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment