Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpaambano wao huku akikenua meno akijua wazi kwamba watu wameacha shughulizao na kuja kutazama mpambano huo. |
Kocha wa Wema Sepetu, Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
Endelea Read more for more BullShit pictures
Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na
Jacklen Wolper katika masumbwi wakati wa
Tamasha la Matumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa
Taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
WEMA NA WOLPER KATIKA ALAMA ZILEZILE
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio
No comments:
Post a Comment