Pages

SabaSaba Imeanza Kupamba Moto,Furaha Kwa Vidokozi

Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja  akiwa amekamatwa na vijana wa skauti mara baada ya..
kukamatwa huku akiwa ameiba simu ndani ya Maonyesho ya SabaSaba 2012 jijini Dar.
 Mpeleke mpelekeeeee...
 Kitu cha Tanganyika jeki kikiwa kimekolea.

Wananchi mnatakiwa kuwa makini sana mnapokuwa mmetembelea maonyesho ya SabaSaba 2012 maana kuna vibaka wa kutosha japo vijana wa skauti wamekuwa wakijitahidi kulinda usalama.

No comments: